Saturday, 13 July 2019

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI,NYUMBA, MAJI NA NISHATI SMZ

Image result for tangazo la kazi smz
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:-

1. Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya …

No comments:

Post a Comment