Sunday 30 June 2019

NAFASI YA KAZI KATIKA OFISI YA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar kama ifuatavyo:-

1. Wakili wa Serikali Daraja la II “Nafasi 8”
SifazaWaombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza …

No comments:

Post a Comment